Abiria mwendokasi wasimulia mabasi mapya
Siku chache tangu kampuni ya Mofat Limited kuanza kutoa huduma ya mabasi mapya katika mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT), baadhi ya abiria wameanza kuonyesha upendeleo wa aina fulani ya magari, huku wafanyabiashara wa samaki wakieleza huduma mpya imekua neema katika shughuli zao za kila siku.
Read more
Safari za usiku zapunguza vurugu za sikukuu
UPATIKANAJI wa usafiri wa mabasi kuelekea mikoa mbalimbali nchini saa 24 nyakati za asubuhi, mchana na usiku kumetajwa kuwa chanzo cha kupungua kwa adha ya usafiri kuelekea sikukuu za mwishoni mwa mwaka.
Ukataji wa tiketi mtandaoni pia umechangia kutopanda kwa nauli huku wengine wakidai kuwa upandishaji wa nauli hutokana na tamaa za wamiliki wa vyombo vya usafiri.
Read more